Books > Professional & Technical > Environmental engineering & technology
|
Buy Now
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi - Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (Swahili, Paperback)
Loot Price: R511
Discovery Miles 5 110
|
|
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi - Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (Swahili, Paperback)
(sign in to rate)
Loot Price R511
Discovery Miles 5 110
Expected to ship within 10 - 15 working days
|
Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa
nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana,
kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na
udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji,
kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya
kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto
duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki
kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa
usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http: //
www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa
wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali,
wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule
anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho
"kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne
hii ya ishirini na moja.
General
Is the information for this product incomplete, wrong or inappropriate?
Let us know about it.
Does this product have an incorrect or missing image?
Send us a new image.
Is this product missing categories?
Add more categories.
Review This Product
No reviews yet - be the first to create one!
|
|
Email address subscribed successfully.
A activation email has been sent to you.
Please click the link in that email to activate your subscription.